Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii | Mada zote | DW | 14.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii

Wakati ulimwengu wa mawasiliano ukihamia kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya mitandaoni, wafuatiliaji wa misingi ya lugha ya Kiswahili wanahofia kuwa uholela na ukosefu wa udhibiti kwenye mitandao hiyo huenda ukaiharibu zaidi lugha badala ya kuijenga. Mohammed Khelef anazungumza na Ezekiel Gikambi wa mtandao wa SWAHILI HUB wenye makao yake makuu nchini Kenya.

Sikiliza sauti 11:25