1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 50 baada ya kifo chake, bado Che Guevara anatukuzwa

Mohammed Abdulrahman Mohammed10 Oktoba 2017

Mwanamapinduzi wa kikomunisti kutokea Amerika Kusini, Che Guevara, anaendelea kutukuzwa ulimwenguni kutokana na msimamo wake mkali dhidi ya ubeberu na mchango wake kwa harakati za ukombozi barani Afrika, miaka 50 baada ya kifo chake. Mwanajeshi wa zamani visiwani Zanzibar, Hashil Seif, anazungumzia maisha, falsafa na mchango wa mwanamapinduzi huyo.

https://p.dw.com/p/2lYzz