Kimeta chalipuka Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 15.11.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Wanyamapori

Kimeta chalipuka Tanzania

Ugonjwa huo umeua wanyama mbalimbali karibu na hifadhi za Manyara, Ngorongoro na Serengeti. Mpaka sasa wanyama walioripotiwa kufa kwa ugonjwa huu ni nyumbu 85, swala 25 na pundamilia 30.

Sikiliza sauti 02:22

Sikiliza ripoti ya Charles Ngereza kutoka Arusha

                       

Sauti na Vidio Kuhusu Mada