Kimbunga chaua Mexico
2 Septemba 2007Matangazo
MEXICO:
Watu kadhaa wameuwawa katika kimbunga Henriette kilichovuma kandoni mwa mwambao wa pwani wa Mexico wa bahari ya Pacifik kabla hakikuelekea mbali baharini.Mtu mmoja na wanawe 2 wameuwawa huko Acapulco.Watototo 3 zaidi walifariki baada ya matope kuangusha nyumba yao walimo kuwamo.