Kim Jong Il afariki dunia | Matukio ya Kisiasa | DW | 19.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kim Jong Il afariki dunia

Televisheni ya serikali ya Korea ya Kaskazini imetangaza kuwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Il, amefariki dunia akiwa na umri wa mika 69. Kabla ya kifo chake, inaaminika kuwa Kim alikuwa akiugua sukari na moyo

Kim Jong Il (kulia) na mtoto wake Kim Jong Un katika picha ya mwaka 2010.

Kim Jong Il (kulia) na mtoto wake Kim Jong Un katika picha ya mwaka 2010.

Kim alikuwa pia akiugua maradhi ya kiharusi tangu mwaka 2008, lakini aliwahi kuonekana katika picha akiwa kwenye ziara za karibuni nchini China na Urusi na nyengine ndani ya nchi yake, ambazo zilikuwa zikitolewa na vyombo vya habari vya serikali. Kiongozi huyo wa Kimomunsti aliyekuwa akijuilikana kwa jina la “Kiongozi Mpenzi” anakumbukwa kwa kupenda kwake sigara, konyagi na vyakula vya kifahari.

 • Tarehe 19.12.2011
 • Mwandishi Mohammed Khelef
 • Maneno muhimu Kim
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13VHQ
 • Tarehe 19.12.2011
 • Mwandishi Mohammed Khelef
 • Maneno muhimu Kim
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13VHQ

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com