1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika na utamaduni wa kuwapa watoto majina

Carolyne Robi Tsuma5 Agosti 2015

Barani Afrika, desturi ya kuwapa majina watoto wanaozaliwa ina mizizi mirefu na mawanda mapana. Inasemekana kuwa takribani kila jina la mtoto wa Kiafrika lina maana na ujumbe maalum unalouwasilisha. Kazi ya kumpa jina mtoto ni shughuli inayofanywa huku wazazi wakiwa na makusudi maalum.

https://p.dw.com/p/1GAMv