Kero la biashara haramu ya kusafirisha binadamu | Mada zote | DW | 15.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kero la biashara haramu ya kusafirisha binadamu

Biashara haramu ya usafirishaji binadamu imewaacha wengi katika mateso na hata maafa mabaya. Lakini ni mambo gani hufanya biashara hii kuendelea? Ni kwa nini suluhu kamili haijapatikana? Dex Rugenera anaangazia zaidi masuala hayo na mengine mengi.

Tazama vidio 02:54