Kenya: Vikosi vya usalama vyawekwa katika hali ya tahadhari
3 Novemba 2014Matangazo
Rais Uhuru Kenyatta ametoa agizo kwa viongozi wa eneo la Baringo kuhakikisha silaha zilizotwaliwa kutoka kwa maafisa wa polisi na wavamizi zirejeshwe katika muda wa saa 24 huku upinzani ukiishutumu serikali kwa kushindwa kulinda Maisha ya Wakenya. Mwandishi wetu Alfred Kiti na taarifa zaidi kutoka Nairobi. Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman