1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Ushawishi wa al-Shabab kwa vijana waongezeka

John Juma30 Juni 2016

Kenya kuna hofu kuwa takriban vijana 100 wamejiunga na kundi la kigaidi la Dola la Kiislamu nchini Libya na Syria ambako wanapata mafunzo, na huenda watarejea kufanya mashambulizi ya kigaidi. DW imezungumza na mshauri wa kiusalama jijini Nairobi, George Musamali.

https://p.dw.com/p/1JGvA