1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Uchaguzi wa urais kufanyika Machi 2013

31 Julai 2012

Mahakama kuu ya Kenya imeamua leo (31.07.2012) kuwa uchaguzi ujao wa rais nchini humo utafanyika kama ulivyopangwa Machi mwakani.

https://p.dw.com/p/15hGy
Mwai Kibaki Rais wa Kenya
Mwai Kibaki Rais wa KenyaPicha: AP Photo

Uamuzi huo wa mahakama unathibitisha uamuzi uliotolewa hapo kabla na mahakama ya chini nchini humo. Sekione Kitojo alizungumza na Mkurugenzi wa kituo cha sheria nchini Kenya Pricilia Nyokabi , ambaye kwanza alitaka kujua kwanini tarehe hii ya uchaguzi inapingwa na makundi ya haki za binadamu.

(Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri: Mohammed Abdul Rahman