Kenya: Nani atachapisha makaratasi ya kupigia kura?
19 Julai 2017
Makaratasi ya kupigia kura yanasubiri kukaguliwa na kusambazwa. Nayo mahakama ya rufaa itaeleza jinsi ya kutatua mzozo kuhusu kampuni gani ipewe zabuni ya kuchapisha makaratasi ya kupigia kura ya rais