Kenia: Usafiri wa Matatu wagoma jijini Mombasa
1 Oktoba 2009Matangazo
Mgomo huo ulioandaliwa na chama cha madereva na Makondakta wa
magari hayo, ulianza alfajiri na kutatiza kabisa uchukuzi katika maeneo
mengi ya jiji hilo.
Kutoka Mjini Mombasa Eric Ponda anaarifu Zaidi.
Mtayarishaji Eric Ponda
Mpitiaji Sekione Kitojo