Kenia: Mkutano kuhusu kura ya Maoni nchini Sudan
5 Januari 2011Matangazo
Zikiwa zimebaki siku tatu kwa raia wa Sudan ya kusini kupiga kura ya maoni kuamua iwapo eneo hilo litajitenga na Sudan ya kaskazini ama la, Kenya imekuwa ikijiandaa kwa kila hali kukabiliana na matokeo ya kura hiyo.
Mwandishi wetu kutoka Nairobi Alfredy Kiti ametutumia taarifa zaidi kutoka Nairobi.
Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Josephat Charo