Kenia: Mahojiano na Najib Balala baada ya kuondolewa katika baraza la mawaziri
28 Machi 2012Matangazo
Siku ya Jumatatu (26.03.2012) ,Rais Mwai Kibaki na Waziri mkuu Raila Odinga walifanya mabadiliko katika baraza la mawaziri, mabadiliko yaliomuondoa Balala katika wadhifa wake kama waziri wa utalii. Amina Abubakar amezungumza na Bwana Balala na kwanza anaelezea kile anachokiona kuwa ni sababu za kupoteza wadhifa wake.
(Kusikiliza mazungumzo hayo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi :Amina Abubakar
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman