KABUL: Rais wa Bangladesh atekwanyara Afghanistan | Habari za Ulimwengu | DW | 16.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KABUL: Rais wa Bangladesh atekwanyara Afghanistan

Nchini Afghanistan,mfanyakazi raia wa Bangladesh, ametekwa nyara katika mkoa wa Logar kusini-magharibi ya Kabul.Mbangladeshi huyo ni mfanyakazi wa shirika la misaada la Bangladesh, ambalo tangu miaka mitano iliyopita husaidia nchini Afghanistan kujenga,shule,barabara na hospitali na vile vile hutoa mikopo midogo kwa wanawake.Hadi hivi sasa haijulikani nani aliehusika na utekaji nyara huo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com