1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Jamhuri ya kidemokrasia ya congo

Kabila ateua baraza la mawaziri

Rais Joseph Kabila amepuuza matakwa ya wapinzani wanaomtuhumu kwa kukiuka makubaliano ya awali. Wengi wa watu 60 waliotangazwa katika nafasi za mawaziri na manaibu walikuwa katika mabaraza yaliyotangulia.

Sikiliza sauti 02:43

Mahojiano na mwandishi Kahozi Kosha

         

Sauti na Vidio Kuhusu Mada