1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Washambulizi wa London watambulishwa

6 Juni 2017

Polisi ya Uingereza yachapisha picha za watu 3 waliofanya mashambulizi ya kigaidi mjini London, Kuwait na Uturuki zaongoza miito ya kimataifa kutaka suluhisho katika mzozo wa Ghuba ya Uarabu, na Rambi rambi zaendelea kumiminika kuomboleza kifo cha mchezaji wa kimataifa wa Cote d'Ivoire, Cheick Tiote aliyefariki Jumatatu akiwa na umri wa miaka 30. Papo kwa Papo 06.06.2017

https://p.dw.com/p/2eCjw