Jukumu la viongozi wa dini uchaguzi wa Uganda | Mada zote | DW | 16.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Jukumu la viongozi wa dini uchaguzi wa Uganda

Zimesalia siku mbili kwa raia wa Uganda kuteremka vituoni kumchagua rais na wabunge kwa muhula wa miaka mitano ijayo na bado kumekuwa na ripoti juu ya vuta nikuvute kati ya vyombo vya usalama na upinzani, huku polisi 36,000 wakitawanywa kwa lengo la kudhibiti usalama. Je, dini zina jukumu gani kwenye uchaguzi huu? Msikilize Mufti Shaban Ramathan Mubajje.

Sikiliza sauti 03:34