1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Magufuli ufunguo wa mkwamo wa Zanzibar

Sudi Mnette13 Novemba 2015

Kufuatia tangazo la kufutwa rasmi uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 Zanzibar,kuna taarifa ya kuwepo kwa makundi tofauti ya kutafuta muafaka wa mzozo huo. Aliyekuwa Katibu wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi visiwani humo Mzee Salim Rashid, anaeleza hali jumla ilivyo visiwani humo kwa sasa.

https://p.dw.com/p/1H53v