1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jubilee yakanusha jeshi kupanga wizi wa kura

Shisia Wasiliwa22 Juni 2017

Chama cha Jubilee kimeyapuuziaa mbali madai ya mgombea wa urais kupitia muungano wa upinzani, Raila Odinga, kuwa serikali ya Uhuru Kenyatta inashirikiana na mkuu wa majeshi mstaafu, Julius Karangu, kupanga njama na jeshi kuiba kura wakati wa uchaguzi mkuu, kikisema upinzani umekosa sera na ndio maana unaeneza propaganda.

https://p.dw.com/p/2fBMR