1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joho azuiwa kuhudhuria uzinduzi wa feri

Saumu Ramadhani Yusuf13 Machi 2017

Ubabe na tofauti za kisiasa baina ya viongozi wa serikali kuu inayoongozwa na Rais Uhuru Kenyatta na serikali ya jimbo la Mombasa chini ya Gavana Ali Hassan Joho, ulidhihirika mapema leo (13.03.2017) baada ya maafisa wa usalama kumzuia Gavana Joho kuhudhuria sherehe inayoongozwa na Rais Uhuru.

https://p.dw.com/p/2Z6ff