1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi la Kongo limewashambulia vikali waasi wa kundi la ADF

John Kanyunyu13 Agosti 2021

Jeshi la Kongo likiungwa mkono na jeshi la Umoja wa Mataifa, limewashambulia vikali waasi wa kundi la kigaidi ADF, katika eneo la Mughalika wilayani Beni. Hiyo ni kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa hali ya dharura katika mikoa ya Kivu ya Kaskazini na Ituri.

https://p.dw.com/p/3ywkG