1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jeshi Kongo laanzisha operesheni dhidi ya waasi

15 Januari 2018

Ili kuyatokomeza makundi ya waasi katika wilaya za Beni na Lubero katika mkoa wa Kivu ya kaskazini nchini Kongo, kamanda wa majeshi ya nchi hiyo katika operesheni, Sokola, ya kwanza Brigedia Mbangu Mashita Marcel, ametangaza operesheni kabambe dhidi ya waasi wa kundi la ADF.

https://p.dw.com/p/2qqv9