1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanabaguliwa kwenye mitandao ya kijamii

Mohammed Khelef
25 Aprili 2018

Msikilize hapa Yusra Buwayhid akikupa matokeo ya utafiti unaotahadharisha kwamba mitandao ya kijamii inawabagua wanawake kupitia mfumo wa kuchuja taarifa ujulikanao kama 'algorithm' unaotumiwa na Facebook, Twitter na Instagram kuwapa watumiaji wake taarifa zinazowalenga zaidi.

https://p.dw.com/p/2wbr5