1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unawafahamu polisi wa fasheni?

17 Oktoba 2017

Watu maarufu siku zote huzingatia nguo wanazovaa hasa katika shughuli mbalimbali. Wapo ambao hukosea kabisa fasheni, sasa hapo ndipo unapokutana na polisi wa fasheni maarufu kama Fashion police ambao hukosoa wale waliovaa vibaya na kupongeza waliovaa vizuri. Je upi ni mchango wao katika maisha ya fasheni ya vijana? Ungana nae Bruce Amani katika Vijana Mchakamchaka.

https://p.dw.com/p/2lxaw