Wanawake wa Kigiriama katika pwani ya Kenya huvaa vazi la hando kuongeza unene katika maumbile yao, kwani uzuri wa mwanamke katika jamii za Kiafrika ni kuwa mnene.
https://p.dw.com/p/13SbC
Matangazo
Saumu Mwasimba anazungumzia historia, maana na matumizi ya vazi la hando la katika jamii ya Kigiriama, pwani ya Kenya.