Baada ya kupita zaidi ya miongo minne ya kumalizika kwa ukoloni wa moja kwa moja wa Ufalme ya Uingereza duniani, suali linaloulizwa ni ikiwa bado Jumuiya ya Madola ina umuhimu kwa mahusiano kati ya makoloni hayo.
https://p.dw.com/p/13JwR
Matangazo
Sudi Mnette anafuatilia maoni ya raia katika mataifa yaliyokuwa makoloni ya Uingereza, kujua umuhimu na nafasi ya Jumuiya ya Madola katika maisha ya sasa kisiasa, kiuchumi na kijamii.