Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupata mkopo kutoka China16.10.200716 Oktoba 2007China inatowa mkopo wa dola bilioni 14 kwa DRC. Fedha hizo zitahusu ujenzi wa nchi hiyo kupitia sekta ya kilimo,afya,elimu na miundombinu.https://p.dw.com/p/C7hUMatangazoLakini shirika la fedha ulimwenguni limeionya serikali ya kongo kuhusu ukubwa wa deni kwamba linaweza kuiweka nchi hiyo katika utumwa wa miaka nyingi. Taarifa kamili na mwandishi wetu saleh Mwanamilongo