1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya Uchaguzi

Wagombea watatu miongoni mwa wale walioshindwa kwenye uchaguzi wa urais DRC, akiwemo spika wa seneti Leon Kengo wa Dondo, wameomba kuitishwa kwa mazungumzo ya kitaifa kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa bunge.

kabila.jpg **FILE** President Joseph Kabila smiles during a meeting with former heads of state in Kinshasa, Congo in this Saturday, Nov. 4, 2006 file photo. Kabila appeared to have an insurmountable lead Tuesday, Nov. 14, 2006, in Congo's runoff election with nearly all the votes counted. (AP Photo/Schalk van Zuydam, FILE)

Rais Joseph Kabila

Wagombea hao wamependekeza kujadili swala la uhalali wa madaraka kufuatia uchaguzi uliopita wa Novemba 28. Pendekezo hilo limepokelewa kwa shingo upande na chama tawala na hata chama kikuu cha upinzani cha UDPS ambacho kimetaka kwanza kutambuliwa kwa Etienne Tshisekedi kama rais wa Kongo.

Taarifa kamili na mwandishi wetu wa Kinshasa, Saleh Mwanamilongo.

Mwandishi: Ripoti ya Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Mohammed Khelef

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com