iPhone | Masuala ya Jamii | DW | 05.07.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

iPhone

Kampuni ya Apple iliibadili milele taswira ya sekta ya simu za mkononi ilipotoa simu yake ya iPhone Januari 9, 2007. Miaka 10 na vizaji saba baadae, iPhone inaedelea kuhodhi soko, na kuongoza mapato ya Apple.

Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu iPhone.