1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ifahamu bendi ya Sauti Sol

Elizabeth Fredrick Shoo14 Julai 2016

Bila shaka hakuna mkazi wa Afrika Mashariki ambaye hajasikia wimbo wa Sura Yako wa bendi ya Sauti Sol kutoka Kenya. Katika kipindi cha "Utamaduni na Sanaa" Elizabeth Shoo anaangazia mafanikio ya bendi na kujaribu kugundua siri yao ya mafanikio.

https://p.dw.com/p/1JP1P