1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Kizazi njia panda - Sikiliza awamu ya nne

Sikiliza sauti 11:59

26 - Ukakamavu na ujasiri wa ajabu  

Kizazi njia panda - awamu ya tatu

CROG Season 3

Miaka mitatu imepita. Mercy na Trudy, ambao walikuwa wakisomea pamoja Bongo Academy, sasa wamejiunga na chuo kikuu kusomea uandishi wa habari. Kwa kujaribu kufuata ndoto yao hiyo, hata wanatia maisha yao hatarini! 

Sikiliza vipindi vya Noa Bongo

Sikiliza Noa Bongo katika matangazo kila Jumatatu asubuhi, saa 12:40, Jumanne jioni saa 12:40, Jumamosi mchana saa 7:50 na Jumapili jioni saa 12:50 na pia kupitia mtandao wetu. Maoni yako yanakaribishwa: kiswahili@dw.de.

Kizazi njia panda - Angalia mikanda ya vidio ya Niki

Tazama vidio 02:16

Vidio 13 - Mwanzo Mpya

Niki bado anawaza iwapo kweli maisha ya kuziunganisha familia yanaweza kudumu