1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idara ya Mahakama na Ofisi ya Rais Kenya zavutana.

Isaac Gamba
7 Februari 2018

Mvutano umejitokeza kati ya mihimili miwili nchini Kenya baada ya inspekta mkuu wa polisi Joseph Boinett na Mkurugenzi wa idara ya upelelezi kukiuka amri ya kufika mahakamani ( 06.02.2018) na kumpeleka mwanasiasa wa upinzani Miguna Miguna. Isaac Gamba alizungumza na mchambuzi wa siasa, Herman Manyora kupata maoni yake kuhusu mvutano huo.

https://p.dw.com/p/2sELT