ICTR kuikabidhi Rwanda washukiwa
17 Januari 2012Matangazo
Mwendesha mashtaka mkuu wa ICTR Abubakar Jallow anasema huo ni mwanzo wa kuwakabidhi washukiwa zaidi Rwanda wakati mahakama hiyo ikijiandaa kukamilisha shughuli zake. Kitendo hicho kimefanyika miaka miwili baada ya ICTR kukataa kuwapeleka washukiwa Rwanda kwa madai kwamba hawatapewa hukumu ya haki.
Kutoka Kigali mwandishi wetu Sylvanus Karemera anaripoti zaidi
Mwandishi Sylivanus Karemera
Mhariri Yusuf Saumu