Ibada ya Hjja huko Makka,Saudi Arabia
4 Novemba 2011Matangazo
Siku ya jumapili waislamu kote duniani watasherehekea sikukuu ya IDD al-Adhha. Nchi za Afrika Mashariki zina mahujaji wengi mwaka huu, licha ya ugumu wa hali ya kiuchumi.
Othman Miraji alizungumza na mmoja wa watu wanaowaongoza mahujaji kutokea Kenya, Sheikh Ahmed Idriss, na alianza kuelezea vipi mambo yalivyo mwaka huu:
Mwandishi: Othman, Miraji
Mhariri: Mohammed Khelef