Hukumu ya kifo yafutwa katika jimbo la New Jersey- Marekani | Habari za Ulimwengu | DW | 14.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Hukumu ya kifo yafutwa katika jimbo la New Jersey- Marekani

Jimbo la Marekani la New Jersey,limekuwa la kwanza nchini humo, katika kipindi cha miongo minne, kupiga kura kuondoa hukumu ya kifo. Hatua hiyo imesifiwa na makundi yanayotetea haki za binadamu yakisema ni hatua moja kuelekea kukomesha hukumu hiyo kali.Bunge la jimbo hilo ambalo linadhibitiwa na wademokrati, limebadilisha hukumu ya kifo na kuifanya kifungo cha maisha.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com