1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Hoteli ya Kempinski haitoendeshwa tena Zanzibar

Habari kutoka Zanzibar zinasema kwamba kampuni ya Kempinski inayoendesha mahoteli ya kifahari na ya utalii sehemu nyingi za dunia sasa haitoendesha tena hoteli ya jina la kampuni hiyo ilioko Kiwengwa, Kisiwani Unguja.

default

Kisiwa cha Zanzibar

Mmiliki wa hoteli hiyo ya kifahari sasa anatafuta kampuni nyingine kusimamia uendeshaji wa hoteli hiyo. Na ilivokuwa watalii wenye kujiweza wanaoelekea Visiwani Zanzibar makaazi yao huwa katika hoteli hiyo, Othman Miraji alizungumza hivi punde na katibu mkuu wa wizara ya habari, utamaduni, utalii na michezo ya Zanzibar, Dr Ali Mwinyikai, kupata zaidi kuhusu mada hii...

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 16.05.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/11HN2
 • Tarehe 16.05.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/11HN2