HONIARA: Misaada imeanza kuingia visiwa vya Solomon | Habari za Ulimwengu | DW | 04.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

HONIARA: Misaada imeanza kuingia visiwa vya Solomon

Misaada ya kiutu imeanza kuingia katika visiwa vya Solomon baada ya visiwa hivyo vya kusini mwa bahari ya Pacific kukumbwa na mawimbi ya Tsunami.

Makaazi ya watu yameharibiwa vibaya na kuwaacha maelfu bila makao.

Zaidi ya watu 20 wameuwawa katika mkasa huo na idadi ya watu walioukufa inatarajiwa kuongezeka.

Hadi sasa haijajulikana bado idadi kamili ya watu waliopotea.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com