1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Magonjwa ya mlipuko

Homa ya matumbo (typhoid) bado tishio

Wajumbe kutoka mataifa 45 wanaokutana Uganda wana hofu kuhusu kukabiliana na homa ya matumbo. Ugonjwa huo unaosambazwa kupitia hasa vyakula na maji ni tishio hasa kwa jamii zinazoishi katika makazi duni.

Sikiliza sauti 02:37

Ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala

   

Typhoid huwaathiri hasa watu kwenye mazingira duni kama vile wakimbizi hawa wanaoishi kwenye kambi Kigoma, Tanzania (Reuters/T. Mukoya)

Typhoid huwaathiri hasa watu kwenye mazingira duni kama vile wakimbizi hawa wanaoishi kwenye kambi Kigoma, Tanzania

                   

Sauti na Vidio Kuhusu Mada