Historia – Kipindi 10 – Ubaguzi09.03.20119 Machi 2011Katika kipindi chetu cha mwisho, babu Peter anatueleza kuhusu enzi mbaya ya historia. Kupitia hadithi zake tumejifunza mengi katika mfululizo wa vipindi hivi. Kwa bahati nzuri, tunaweza kuvikamilisha kwa furaha!https://p.dw.com/p/QsUTMatangazo