Historia – Kipindi 01 – Chimbuko la binadamu09.03.20119 Machi 2011Kutana na June, anayependa kusikiliza hadithi za babu yake badala ya kumsaidia mamake. Hiyo si tabia nzuri, lakini hadithi hizo zinasisimua. Kama ile kumhusu msichana mdogo anayeitwa Lucy katika enzi ya mawehttps://p.dw.com/p/QsQnMatangazo