Hispania kuifuata Ugiriki | Masuala ya Jamii | DW | 15.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Hispania kuifuata Ugiriki

Baada ya Ugiriki kutumbukia kwenye dimbwi la madeni na kusambaratika kwa uchumi, kuna kila dalili sasa kwamba Hispania nayo iko njiani kuelekea huko, na tayari maandamano ya umma kupinga hatua za mageuzi yameanza.

Waziri Mkuu wa Hispania, Mariano Rajoy.

Waziri Mkuu wa Hispania, Mariano Rajoy.

Abdu Mtullya anaiangalia hali ya mambo nchini Hispania katika wakati ambao nchi hiyo inaaminika kuanza kutumbukia kwenye dimbwi la kufilisika. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika hapo chini.

Makala: Hispania yaifuata Ugiriki
Mtayarishaji/Msimulizi: Abdu Mtullya
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada