Licha ya Yakuti na Marijani kuzaliwa na kukulia kwenye kijiji kimoja, kila aina ya vikwazo iliingia kati yao kuwazuwia wawili hao wasikabiliane hata kwa dhihaka, anasimulia Khadija Ali kwenye hekaya hii.
https://p.dw.com/p/1Hg0l
Matangazo
Bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini, kusikiliza mkasa wa "Mapenzi ya kweli hayafi" kama unavyosimuliwa na Khadija Ali.