1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali shwari Tehran kufuatia mzozo wa Iran na Saudia

Caro Robi6 Januari 2016

Mzozo wa kibalozi kati ya Iran na Saudi Arabia sasa unachukuwa sura ya kimataifa. Rashid, mwandishi wa habari kutoka mji mkuu wa Iran, Tehran, anaeleza kama mzozo huu umeleta athari kwa maisha ya Wairani wa kawaida mitaani.

https://p.dw.com/p/1HXoO