1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Ghasia zazuka katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma nchini Kenya

Nchini kenya ghasia zinaripotiwa kutokea katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyo kaskazini mwa nchi.

Watu kadhaa wanaripotiwa kujeruhiwa na mkaazi mmoja kupigwa risasi hadi kufa wakati wa mapigano hayo.Kambi hiyo ilianzishwa mwaka 92.Yapata wakimbizi elfu 70 wanapata hifadhi katika kambi hiyo wengi wao kutoka nchi za Somalia,Sudan ,Ethiopia na hata Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Ili kupata picha halisi Thelma Mwadzaya alizungumza na John mkimbizi kutoka Kongo anayepata hifadhi katika kambi hiyo.


 • Tarehe 08.05.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/DwoL
 • Tarehe 08.05.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/DwoL