Gaza.Wapalestina waendelea kuuwawa katika mashambulizi ya Israel. | Habari za Ulimwengu | DW | 15.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Gaza.Wapalestina waendelea kuuwawa katika mashambulizi ya Israel.

Jeshi la Israel limewauwa Wapalestina wanane katika mashambulizi katika ukanda wa Gaza, ikiwa ni pamoja na wanachama kadha wa chama cha Hamas, wakati hali ya machafuko ikiendelea katika eneo hilo la pwani.

Watu 22 wameuwawa katika shambulio la anga katika eneo la ukanda wa Gaza katika muda wa saa 48 zilizopita wakati Israel haionyesha kupunguza mashambulizi yake dhidi ya Palestina.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com