GAZA: Shambulio la Israel limelenga wanamgambo wa Hamas | Habari za Ulimwengu | DW | 19.11.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

GAZA: Shambulio la Israel limelenga wanamgambo wa Hamas

Ripoti kutoka Gaza zinasema,shambulio la angani la Israel lililolenga gari la mwanamgambo wa Kipalestina limewajeruhi watu wasiohusika. Wanachama wawili wa Hamas waliokuwa ndani ya gari lililolengwa,walijeruhiwa lakini waliweza kujiokoa dakika ya mwisho.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com