Etienne Tshisekedi ataka kujiapisha mwenyewe kama rais wa DRC | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.12.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Etienne Tshisekedi ataka kujiapisha mwenyewe kama rais wa DRC

Polisi nchini DRC wamepiga marufuku hatua ya kiongozi wa upinzani Etienne Tshisekedi kujiapisha mwenyewe kama rais wa nchi hiyo licha ya kwamba rais Joseph Kabila tayari ameshaapishwa kama rais wa jamhuri hiyo.

** FILE ** Congolese opposition party politician Etienne Tshisekedi talks to journalists after a brief meeting between the South African president Thabo Mbeki and the Congolese delegation in Stellenbosch, Cape Town, South Africa, in this Dec.18, 2002 file photo. 26 million people are entitled to vote in the presidential elections on July 30. (AP Photo/Obed Zilwa)

Etienne Tshisekedi asema atajiapisha mwenyewe kama rais wa DRC

Polisi kwa sasa wamezunguka nyumba ya bwana Tchisekedi pamoja na kuzunguka uwanja ambao Tchisekedi anatarajiwa kujiapisha.

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Josephat Charo

 • Tarehe 23.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13Y9N
 • Tarehe 23.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13Y9N

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com