1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Emoji sasa ni lugha ya mawasiliano

Sylvia Mwehozi
26 Septemba 2017

Tumekuwa watumiaji wakubwa wa Emoji wakati tunapowasiliana na marafiki zetu kupitia simu zetu aina ya smartphones. Katika Makala hii ya Sema Uvume tunazungumzia chimbuko la Emoji na matumizi yake hasa. Sikiliza makala hii kwa kina.

https://p.dw.com/p/2khpV