DUBAI: Mateka walioachiliwa huru warejea Korea Kusini | Habari za Ulimwengu | DW | 01.09.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

DUBAI: Mateka walioachiliwa huru warejea Korea Kusini

Mateka 19 wa Korea Kusini waliozuiliwa na wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan kwa majuma sita wameondoka Dubai,hii leo kurejea nyumbani.Mwanadiplomasia kwenye Ubalozi wa Korea Kusini,katika Umoja wa Falme za Kiarabu amesema, mahabusu walioachiliwa huru waliwasili Dubai kutoka Afghanistan siku ya Ijumaa.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com